Msaada mashine ya kukoboa mpunga

KIGOMA ONE

Member
Aug 19, 2013
35
12
Wadau kwa heshima na taadhima naomba kwa mwenye kufaham mashine nzuri na yakisasa ya kukoboa mpunga naomba anipe taarif hizo hapa kwa kuzingatia yafuatayo.

1.Gharama za mashine husika
2.Ubora wa mashine
3.Upatikanaji wake
 
Back
Top Bottom