Kaveli JF-Expert Member Dec 4, 2012 5,441 8,900 Jul 17, 2016 #2 Ngoja niongeze juhudi kwenye kilimo changu cha matango ili next birthday ya dada'angu afrodenzi nimzawadie kazawadi kama hako awe anabadilisha.
Ngoja niongeze juhudi kwenye kilimo changu cha matango ili next birthday ya dada'angu afrodenzi nimzawadie kazawadi kama hako awe anabadilisha.
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,150 9,252 Jul 17, 2016 #3 Kaveli said: Ngoja niongeze juhudi kwenye kilimo changu cha matango ili next birthday ya dada'angu afrodenzi nimzawadie kazawadi kama hako awe anabadilisha. Click to expand... Hahahhaha nashukuru mno . Birthday yako ikifika nina zawadi yako pia
Kaveli said: Ngoja niongeze juhudi kwenye kilimo changu cha matango ili next birthday ya dada'angu afrodenzi nimzawadie kazawadi kama hako awe anabadilisha. Click to expand... Hahahhaha nashukuru mno . Birthday yako ikifika nina zawadi yako pia
Kaveli JF-Expert Member Dec 4, 2012 5,441 8,900 Jul 17, 2016 #4 afrodenzi said: Hahahhaha nashukuru mno . Birthday yako ikifika nina zawadi yako pia Click to expand... hahaha me na wewe damu-damu. Nitafurahi mnooooo pia. Nakomaa na kilimo cha mboga mboga mpaka kinitoe. Yani your next birthday nita-make 'things happen' ili u-smile big dada'ake.
afrodenzi said: Hahahhaha nashukuru mno . Birthday yako ikifika nina zawadi yako pia Click to expand... hahaha me na wewe damu-damu. Nitafurahi mnooooo pia. Nakomaa na kilimo cha mboga mboga mpaka kinitoe. Yani your next birthday nita-make 'things happen' ili u-smile big dada'ake.