cc12 JF-Expert Member Jan 26, 2013 1,018 395 Jul 15, 2016 #1 Nauza Toyata IPSUM PICNIC Haijatembea kilomita Nying sana Bei 9.5 Maelewano yapo ipo Dodoma 0765 860 437 NOTE Gari haina cha Udalali ni kutoka kwenye Mali
Nauza Toyata IPSUM PICNIC Haijatembea kilomita Nying sana Bei 9.5 Maelewano yapo ipo Dodoma 0765 860 437 NOTE Gari haina cha Udalali ni kutoka kwenye Mali
NI MTAZAMO TU JF-Expert Member Feb 20, 2014 1,203 999 Jul 15, 2016 #2 Asante kwa taarifa, Ngoja watakuja mkuu
Mulimila dole JF-Expert Member Jul 15, 2016 226 266 Jul 16, 2016 #3 Umesema haijatembea sana sema km ngapi? Weka basi na specifications zingine pia Watu tunaitamani
Karimu123 JF-Expert Member Aug 3, 2015 243 114 Jul 16, 2016 #5 Frank Wanjiru said: Vipi 7ml. inalipa? Click to expand... pga simu mkuu tuongee biashara kaka
cc12 JF-Expert Member Jan 26, 2013 1,018 395 Jul 16, 2016 Thread starter #6 Frank Wanjiru said: Vipi 7ml. inalipa? Click to expand... piga simu kaka tuongee biashara kaka
cc12 JF-Expert Member Jan 26, 2013 1,018 395 Jul 17, 2016 Thread starter #8 MU-ARSENAL said: Mate yananitoka daah Click to expand... jichange uchukue kasafiri mkuu
cc12 JF-Expert Member Jan 26, 2013 1,018 395 Jul 17, 2016 Thread starter #9 mashine kwa ndani iko hivi wakuu Attachments 13730735_1066028553474323_828435334_o.jpg 61.7 KB · Views: 58 13699507_1066028566807655_1877119993_o.jpg 76.3 KB · Views: 55 13730735_1066028553474323_828435334_o.jpg 61.7 KB · Views: 51 13714405_1065996966810815_634312403_n.jpg 19 KB · Views: 58
cc12 JF-Expert Member Jan 26, 2013 1,018 395 Jul 17, 2016 Thread starter #11 Makuku Rey said: nmekatamani! Click to expand... tuonge biashara mku
stephot JF-Expert Member Mar 1, 2012 16,850 25,355 Jul 17, 2016 #13 Naipenda sana,nilishawahi kuwa nayo.
cc12 JF-Expert Member Jan 26, 2013 1,018 395 Jul 18, 2016 Thread starter #14 Countrywide said: ipo mkoa gani? Click to expand... iko Dodoma mkuu
Konda wa bodaboda JF-Expert Member Jul 18, 2014 7,981 4,166 Jul 18, 2016 #15 Gari imetulia sana. Nikupe 6.5?
cc12 JF-Expert Member Jan 26, 2013 1,018 395 Jul 18, 2016 Thread starter #16 Konda wa bodaboda said: Gari imetulia sana. Nikupe 6.5? Click to expand... Piga simu mkuu tuonge