Natafuta mashine mpya ya kukamua alizeti.

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,426
1,431
Wakuu naomba kujuzwa bei ya mashine mpya ya kichina ya kukamua alizeti yenye uwezo wa tani 1-5 au zaidi kwa siku.Je bei yake ni ngapi kwa maeneo ya Arusha au Mwanza?
 
Back
Top Bottom