Wadau Habari, Naomba Mwenye Taarifa Za Mashamba Ya Kukodi Kwa Ajili Ya Kilimo Huku Maeneo Ya Bagamoyo.Likiwa Karibu Na Mto Au Lenye Uhakika Wa Maji Na Ardhi Yenye Rutuba Itakuwa Vizuri.Nahitaji...
Make : Toyota
Model : IST
Mileage : 55,000 km
Engine size : 1290cc
Fuel : Gasoline/Petrol
Drive : Two wheels drive (2WD)
Steering : Right
Transmission : Automatic
Ext. Color : Silver...
Habari wakuu, nawatangazia huduma ya LOGO kwa anayehitaji, kama ni mtu Binafsi, Kampuni au Taasisi tunakutengenezea kwa bei nafuu sana
Kwa maelezo zaidi njoo PM (Inbox), huko nitakupatia na...
Compressor Ni used from Japan zinauwezo mkubwa Sana.
Ziko Mwanza na bei Ni milioni 18
Kwa anaehitaji tuwasiliane kwa #0742159555
Nimeambatanisha na picha kwa maelezo zaidi
Wakuu,
Ninauza Coaster Bus safi inafanya kazi ya daladala kati ya Temeke na Muhimbili. Gari ipo vizuri kama inavyoonekana katika picha na ipo barabarani inaendelea na kazi. Bei ni Mil. 13...
Hii ni kampuni imesajiliwa, wamekuja na mfumo hi..
Tumia simu yako ya kiganjani, laini yako binafsi ya kila siku na mtaji mmoja kwa kujiajiri kama Wakala au matumizi binafsi. Utaweza kutoa huduma...
njia moja wapo ya kuweza kumudu biashara yako ni kutumia Tally.Erp9 accounting software.Tally.Erp9 inauwezo mkubwa wa kukusaidia kila aina ya changamoto ambazo wewe utakutana nazo...
Kiwanja kinauzwa kiko Mbezi Msakuzi. Ukubwa Ni "17-20" bei Sh mil. 7. Karibu Sana. Umeme upo karibu mno.
Wasiliana Na mwenye no: 0719031549. Bei inaweza kupungua kidogo. Gari inafika hadi getini...
Habari, nina tani 15 za pilipili Manga /mtama kavu na ni nzuri, kg nauza kwa 20000 mpaka kumfikishia mteja. Naomba kwa atakayehitaji tuwasiliane 0627748402
Tally training ya:
1. Kucreate masters ya accounts na inventory
2. Kupost vouchers kama vile petty cash, invoice, payment n.k
3. Kuview na kuprint reports na kuexport hizo reports kwenye pdf...
Habari zenu wadau, wapi mtu anaweza kupata vitu vya ndani kama TV na Fridge kwa mkopo wa kulipa kwa miezi 3,4 hadi 6?
-mfanyakazi sekta binafsi hivyo mdhamini uwe mwajiri na mkataba wake.
Kodi isizidi laki saba...mzungu mwanaume anatafuta appartment ya kupanga ya kisasa mbezbeach iliyo na fenicha tayari, mahitaji ni chumba kimoja master, sebule na jiko na iwe ndani ya fensi...
Habari Zenu Wadau Nimepata Kazi Mkoan Hivyo Natafuta Mtu Nimpe Kitanda 5*6 na Godoro Lake Na Chumba Kwa Laki 2.5 Tu. Chumba Kipo Kiwanda Cha Tumbaku Km 5 Kutoka Chuo Cha Sua Kampas Ya Mazimbu...