Wanted: Nyumba au appartment ya kupanga mbezbeach

Wanted: Nyumba au appartment ya kupanga mbezbeach

Conroy

Senior Member
Joined
May 23, 2014
Posts
158
Reaction score
44
Kodi isizidi laki saba...mzungu mwanaume anatafuta appartment ya kupanga ya kisasa mbezbeach iliyo na fenicha tayari, mahitaji ni chumba kimoja master, sebule na jiko na iwe ndani ya fensi... ama ikiwa una nyumba ya kisasa au ghorofa iliyo na fenicha tayari yenye room moja master na upo tayari kuipangisha na kuchangia nae sebule na jiko maeneo ya mbezbeach yenye usalama ndani ya fensi nijulishe haraka au nitumie picha WhatsApp 0689315582
 
ukifahamu mteja wako ni nani utajua njia bora ya kumhudumia..(kasome uchumi)
Kumfaham Mteja na njia bora za kumhudumia haiusiani na Mzungu au muafrika, nimekuuliza kwa makusudi mkuu ili nami labda nitajifunza kitu
 
Kumfaham Mteja na njia bora za kumhudumia haiusiani na Mzungu au muafrika, nimekuuliza kwa makusudi mkuu ili nami labda nitajifunza kitu
Unataka kujifunza kitu gani au umedandia topic unataka kuchati??? Chunguza nia yako.. Asante kwa kuapdate post yangu.
 
Unataka kujifunza kitu gani au umedandia topic unataka kuchati??? Chunguza nia yako.. Asante kwa kuapdate post yangu.
Mkuu usiwe na hasira kiasi hcho ....
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] nataka kuchat???nway poa
 
wanted?? alafu unatafuta nyumba?? kwa nn usitumie kiswahili??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom