Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau nahitaji kuezeka kibanda changu lakini mpka sasa nimeshindwa kujua ni kampuni zipi ninunue mabati,maana nikipita nyumba nyingi naona mabati yamepauka sana na yamewekwa juzi juzi tu...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Wadau, Nakodisha Noah kwa shughuli za harusi,sherehe na safari mbalimbali (sio kwa daladala), ipo katika hali nzuri sana. Bei maelewano, Tuwasilianie : 0675-205760
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Kiwanja kinauzwa kipo ruvu kwa zoka kina ukubwa wa hatua 35 kwa 20, kinatosha kujenga servant's quarter.... Kuna umeme, shule, hospital na soko.. Pia ni karibu na barabara. Bei ni 4mil maelewano yapo
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Tecno h6 inauzwa kama spare haina volume button na display imekufa 60000...pm kwa anaehitaj........
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Natafuta mtu wa ku print flyers, receipt books etc. Anaefanya kazi hizi tafadhali aniachie namba yake hapa au PM.
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Aina 'KODTEC' inapiga muziki balaa ina spika 2 na ina uwezo wa kupiga radio papo hapo,bei sh.elf 60 haipungui. 0713133633
0 Reactions
11 Replies
5K Views
HABARI WAKUUUU NAUZA SUBWOOFER MPYAAA AINA YA SEA PIANO SP-1002,zina redio ya fm,sehemu ya memory card na sehemu ya flash disk.Subwoofer hizi ni kubwa na zina mdundo wa ukweli.BEI NI...
0 Reactions
15 Replies
16K Views
iPhone 5s White 16gb Brand New 580000/= iPhone 5s Gold 16gb _New condition phone with a charger cabble 560000/= *iPhone 5s Black 16gb _Mint condition, phone with a charger cabble_ 550000/=...
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Warembo karibuni tunashona wigs fupi na ndefu...pia tunabond style yoyote atakayo mteja Kama picha zinavyoonesha hapo chini. Tupo mabibo loyola ...weaving fupi 35000 Refu inategemea na size..au...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Solar System au Backup za umeme TUNAFUNGA kwa gharama nafuu. Mifumo yetu ni ya technologia ya kisasa iliyoboreshwa zaidi. NB: Gharama zinatofautiana kulingana na mahitaji ya mteja ndio mana...
1 Reactions
0 Replies
769 Views
Solar System au Backup za umeme TUNAFUNGA kwa gharama nafuu. Mifumo yetu ni ya technologia ya kisasa iliyoboreshwa zaidi. NB: Gharama zinatofautiana kulingana na mahitaji ya mteja ndio mana...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Hallow ndugu, nyumba inapangishwa tuwasiliane kwa namba hiyo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jmk Royal Services Dealer wa vifaa vya ujenzi,yakiwemo mabati,tiles,wanakuletea Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana) Mabati ya mikunjo(Versatile) Mabati migongo modogo(corrugated) ya rangi na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa yeyote anae hitaji au kujua soko la ASALI mbichi anitafute kwenye number hizi 0673353275 WhatsApp utapata bila shaka
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mutual Developers Limited (MDL) is a consortium made up of highly motivated, experienced and successful professionals whose dedication to excellence is the hallmark of MDL’s objective of becoming...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Kwa wale wenye ujuz Wa packaging and labelling, naomba tuwasiliane,pia kama unafahamu sehemu nitakayo pata msaada huo,anpatie mawasiliano namba yangu ni;0755302433
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jaman wana Jf naomba msaada kwa watu wenye utalamu wakutengeneza packaging material wanisaidie mawasiliano yao plz
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Hard disc gb1000, ram 4gb, corei3 ipo sokoni. Ni dell inspiron 15 Karibu
1 Reactions
2 Replies
855 Views
Habari wanajf Karibuni pilipili nliyoipika na kuiandaa katk mazingira safi kisha kua packed ktk vifungashio salama kwa afya ya mlaji...ni inaradha nzur na inatumika kulika katika chakula chochote...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Napenda kuwafahamisha kwamba sasa hivi mimi ni Wakala wa Bima. Ninatoa huduma za Bima kwa wateja na mali zao. Huduma ninazozitoa ni kwaajili ya kinga ya majanga yafuatayo; Ajali za Magari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom