kwanini unasema hivyo mkuu?Mnunuzi atakabidhiwa pia na Vitanda vya kubebea " majeruhi " ili awe navyo humo ndani kama akiba?
kwanini unasema hivyo mkuu?
Hakuna aliye salama chini ya jua,, uwe umepanda noah, ndege au meli au gar ya aina yoyote ile,, Ni Mungu tu ajuaye utakufaje
kwa nini?Ukipanda Noah ni sawasawa tu " maiti " inayongojea kuingizwa mortuary.
Oyaa chukua aliekupa offer ya 10m.Thanx for the OFFER,, ila ungepanda mkuu