Nahitaji kiwanja Bomang'ombe Hai

julius junior

Member
May 22, 2014
97
35
Wazima Wakuu, Nahitaji kiwanja bomang'ombe Hai, budget yangu ni Million 3, mwenye nacho tuwasiliane tafadhali
# 0685000921#
 
kiwanja kwa hiyo bei kwa moshi itakuwa ishu. aridhi moshi ni ghali sana mkuu. hapo labda uende.shabaha kama utabahatisha kwa hiyo bei maana nadhani pia bei zitakuwa zimepanda. Shabaha sio kubaya hivyo kama unaweza.tembelea ukaone kwanza.
 
  • Thanks
Reactions: SIM

Similar Discussions

Back
Top Bottom