Hiki hapa chuo kizuri kwa koz ya Ualimu

Hiki hapa chuo kizuri kwa koz ya Ualimu

ween

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
414
Reaction score
129
Habar wadau
Kuna chuo hiki apa konatoa koz ya ulimu unaweza kukiangalia ukatupa mrejesho [www.teku.ac.tz
 
Pia Katka chuo hicho kunakozi maalumu mpya ya kupata sifa ya kusoma stashahada ya ualimu mwenye kuweza naomba aidawnload alete hapa tuelekezane namna ya kufanya application ya koz hyopya.
 
sifa ya kusoma stashahada au shahada
 
Pia Katka chuo hicho kunakozi maalumu mpya ya kupata sifa ya kusoma stashahada ya ualimu mwenye kuweza naomba aidawnload alete hapa tuelekezane namna ya kufanya application ya koz hyopya.
kuna kozi maalum ya kukufanya upate sifa za kusoma shahada ama stashahada ebu fafanua vizuri apo kiongozi
 
Back
Top Bottom