Shamba La Kukodi Maeneo Ruvu Ya Bagamoyo

CHIEF MGALULA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,193
Reaction score
912
Wadau Habari, Naomba Mwenye Taarifa Za Mashamba Ya Kukodi Kwa Ajili Ya Kilimo Huku Maeneo Ya Bagamoyo.Likiwa Karibu Na Mto Au Lenye Uhakika Wa Maji Na Ardhi Yenye Rutuba Itakuwa Vizuri.Nahitaji Kwa Ajili Ya Kilimo Cha Mbogamboga Na Wakati Wa Mvua Nyingi Nipande Mpunga!!

Tuwasiliane Kwa Namba 0715488421
 
Una kiasi gani?
 
Back
Top Bottom