Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

kama unayo Tuwasiliane kwa Namba 0718295182 Bango
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Kwa yoyote anehitaji kingamuzi anicheki hapa 0676431143 bei sh.100,000 pamoja na dish kimetumika miezi 3 tu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana Jukwaa Habarini Nimekuwa nikipambana kwa muda wa miezi miwili sasa kumuuguza Bi Mkubwa Muhimbili. Juzi nimepewa Rufaa nimpeleke India kwa matibabu zaidi. Nikiangalia mfukoni hali haijakaa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza laini ya Tigo pesa bei maelewano nitafute katika nambari 0765657222
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Habari wakuu, engine ya gari yangu ina matatizo,hivo nmeamua kutafuta nyingine, gari ni ya mwaka 1996, engine ya 4,600 cc, HSE ( high specified edition). Kwa anaejua wapi naweza pata ntashukuru sana.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sold-out.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Automatic Tempreture Controlled & Combined Oil Mill manufacturer
0 Reactions
1 Replies
715 Views
Poleni na majukumu wanajukwaa wenzangu, lodge ipo sokoni ni mpya na bado haijaanza kufanya kazi. Ipo eneo la Mbagala Kizinga umbali wa mita 50 kutoka barabarani, wiring ya umeme imeshafanyika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye kufahamu tafadhali naomba kujuzwa.Ni aina ipi kati ya hizi itanifaa kusafiria kifamilia,kwa mfano kutoka Dodoma mpaka mmoshi kwenda Na kurudi angalau Mara mbili kwa mwaka na mizunguko...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbuzi hao wanaoonekana ni wa maziwa isipokuwa huyo anayenyonyesha yeye amekuwa crossed ni uzao wake wa 1 baba wa mtoto ni Dume picha ya 2 toka kushoto juu ni pure Norwegian ni mkubwa sana...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naomba nitoe tena tangazo hapa kwa wenye taarifa zaauzaji wa Bajaji used kutoka nje. Nasema kutoka nje kwa sababu za hapa bongo zinakuwa zimechoka sana. Ila kama kuna anaeuza ya kwake hapa bongo...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Ving'amuzi vya continental vimeshuka bei ni elfu 40 tu hapo inajumuisha dikoda na antenna mwezi.mmoja bureee halaf vifurushi nafuu.kipo.mpaka cha 4000 yaani raha. sana
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Shamba linauzwa liko kijiji cha Msowero wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro, linaukbwa wa ekari 47.8 limeshapimwa na linahati. kuna nyumba na barabara shamba linafaa sana kwa kilimo cha umwagiliaji...
0 Reactions
2 Replies
601 Views
Shamba linauzwa liko kijiji cha Msowero wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro, linaukbwa wa ekari 47.8 limeshapimwa na linahati. kuna nyumba na barabara shamba linafaa sana kwa kilimo cha umwagiliaji...
0 Reactions
4 Replies
834 Views
Site ya Kujenga Mnara wa simu Inapatikana(KODISHWA). Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power) Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site. Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Surveyed Plot inauzwa eneo la Ilala-Buyuni lililopo 29Kms kutoka Clock tower City Centre. Ukubwa wa Plot husika ni mita za mraba 1,120. Lina nyaraka zote halali za serikali (Land registry title...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SNL SOLAR CO. LTD tumejikita katika kuboresha mifumo ya solar kwa kutumia technologia ya kisasa. Tunafunga SOLAR kwa mteja ambaye hana umeme wa tanesco lakini pia tunafunga BACKUP system kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta wanyama tajwa hapo juu tayari kwa kufugwa 0629141259
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je ungependa kujua mahali lilipo gari lako bila hata kumuuliza dereva?? Je ungependa kujua tabia/undeshaji wa dereva wako awapo barabarani?? Je ungependa kujua matumizi ya mafuta ya gari lako na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom