goodluckgunda
Member
- Feb 2, 2009
- 44
- 133
Hii ni kampuni imesajiliwa, wamekuja na mfumo hi..
Tumia simu yako ya kiganjani, laini yako binafsi ya kila siku na mtaji mmoja kwa kujiajiri kama Wakala au matumizi binafsi. Utaweza kutoa huduma hizi;
1. Kuuza / kununua vocha za kurusha (voda, tigo, airtel, zantel, smart na halotel)
2. Kuuza/ kulipia Muda wa maongezi na vifurushi vya internet kwa mtandao (Tigo) na (Zantel)
3. Kuuza/ kulipia Azam, DSTV, Startimes, Smile na box office.
4. Huduma ya LUKU ipo kwenye maboresho * aliyesajiliwa atajulishwa ikirejea.
Kamisheni
i.vocha 4% - 5.2%
ii. startimes 10%
iii. azam & smile 1%
iv. Dstv 2%
Ili Kusajiliwa;
i. Unatakiwa uwe na salio la kianzio (kusajiliwa +mtaji) tshs. 11,500/= kwa tigo au airtel, na voda Tshs. 10,000/= ambapo utakatwa tshs. 500/= tu ili kusajiliwa na kinacho bakia utaanza nacho biashara.
ii. Tuma jina lako kamili, namba yako ya simu (isiwe Till) na eneo ulipo kwenda namba hii (Super Agent)opote ulipo hapa nchini Tanzania ndani ya dakika 10 na kuaza biashara mkononi ndani ya muda huo huo. Pesa hii humpi mtu yoyote hapa katikati, inalipiwa kwa njia maalum ya Mpesa, TigoPesa, Airtel money au Ezy Pesa kwa kutumia namba ya kampuni na kumbukumbu namba.
Mobistock menyu *150*33#
Facebook: MobiStock Tanzania - Super Agent