Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
Habari zenu wadau, wapi mtu anaweza kupata vitu vya ndani kama TV na Fridge kwa mkopo wa kulipa kwa miezi 3,4 hadi 6?
-mfanyakazi sekta binafsi hivyo mdhamini uwe mwajiri na mkataba wake.
-mfanyakazi sekta binafsi hivyo mdhamini uwe mwajiri na mkataba wake.