Duka la rejareja linauzwa

Duka la rejareja linauzwa

Mgeni wa Mungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
1,233
Reaction score
1,296
image.jpeg

Duka lipo Mjini Magomeni muembe Chai,kituoni barabarani. Ni duka la vitu vya chakula vya rejareja "Food stuff" Lina wateja wa kutosha . Mauzo yanalingana Na mzigo uliomo. Kodi Ni Sh 100,000 kwa mwezi.

Kama Utakua Ni mjasiriamali mzuri unaweza kuuza maji kwa jumla Lina eneo kubwa Na stoo ipo kubwa.
Karibu mjasiriamali utengeneze maisha.
 
Bei yake ni sh. Ngapi
Nalihitaji nicheck hapa 0653783552
 
Hujasema unaliuza sh ngapi? Vp mauzo kwa siku yanafika ngapi?
 
Hakuna chuma ulete hapo mtaani?

Kwenye biashara changamoto kama hizo zinaweza kutokea lakn mimi sijawahi kufikiria kuhusu chuma ulete. Ninaona watu wote kawaida tuu, na hesabu zipo kama kawaida.
 
Back
Top Bottom