Sasa wewe movie hujaiona halfu unasifia ni nzuri sana? Mbona sikuelewi?Kuhusu movie yake ipo japo mimi bado chajaiona ila kunajamaa yangu aliniambia niitafute niicheki ninzur sana
Kwani ameisifia au amesema kuna mtu amemwambia? Acha povuSasa wewe movie hujaiona halfu unasifia ni nzuri sana? Mbona sikuelewi?