Msaada

Msaada

Swenailie

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2016
Posts
240
Reaction score
230
Natafuta chumba cha kupanga self mwanza maeneo ya nyegezi Au Kona ya bwiru pasiasi nyamanoro Au ilemela. nyumba yenye usalama karibu na barabara ningefurahi zaid ikiwa na uzio.

Jaman madalali hapana mwenye kunisaidia tu anaona jirani anahama Au anamfaham mtu anahama anijuze. Dalali Kila saa hela ya mguu na nyumba vichochoroni.
 
Back
Top Bottom