Electrical Tech.

electricalTech

New Member
Aug 2, 2016
3
0
Je unahitaji huduma mojawapo kati ya zifuatazo katika nyumba yako?
  1. Kufanyiwa Wiring
  2. Michoro ya Wiring (Electrical wiring drawing).
  3. Ukadiriaji wa gharama katika manunuzi ya vifaa vya umeme katika nyumba yako
  4. Kufungiwa vifaa vya umeme kama vile Taa za kisasa katika nyumba yako
Usiumbuke huduma zote hizo utazipata kutoka ElectricalTech.
ElectricalTech
ni Mjumuiko wa wataalamu wa Masuala ya umeme tuliobobea katika Shughuli zilizoorodheshwa hapo juu, Ufanyaji kazi wetu kwa weledi na ufanisi wa hali ya juu utakufanya ufurahi kufanya kazi na sisi, Pia tunatoa ushauri wa kitaalamu juu ya masuala yote yanayohusiana na wiring.

Tunapatikana Dar es salaam,

kwa mawasiliano unaweza kutupata kupitia 0713 10 69 48 na 0763 55 36 58(whatsapp).

Gharama zetu ni nafuu na Huduma ni za Kiwango cha hali ya juu.
Karibuni wote.
 
Back
Top Bottom