Viwanja viwili vinauzwa kigamboni

Viwanja viwili vinauzwa kigamboni

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,747
Viwanja viwili vinauzwa kigamboni mwembe mdogo kilomita mbili kutoka dege house project.
30*30 tshs 10 milions na 30*60 kikiwa na tofali 700 kinauzwa 17 mls.
Vina documents za serikali ya mtaaa.
Kwa anayehitaji apige namba 0688151545 ndiyo namba ya muuzaji.
1469594051383.jpg
1469594065586.jpg
1469594081877.jpg
1469594102160.jpg
 
Uzeni mapema kabla hatujaamia Dodoma vikawadodea beacause by that time a lot of houses will be empty and rent will be cheaper than now. At least Your plots are affordable
Aisee!!!!
 
Mm nimeviona hivi viwanja, aisee viko bomba ile mbaya, eneo zuri, watu wanajenga,, umeme unakaribia, visima vinachimbika kirahisi. Na hiyo bei ni mwanana kabisa
 
Mkuu kwa bei hiyo si unapata chenye hati kabisa huko kigamboni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom