Mbona simple.... Umetumika 3months ila bado unaonekana mpya... It depends na utunzaji wa mtu.. Na upite salama mkuuHapo ndo napata wasi wasi.. Ametumika lakini new??? (Amezaa lakini bikra) Haya napita tu
Habari wana JF..
Nauza mdoli wa kudisplay nguo size 8. Ametumika 3months still new.. Anayehitaji ani pm.
Labda ungesema still looks new. Maana i wonder vipi kinaweza kutumika na bado kikawa kipya???Mbona simple.... Umetumika 3months ila bado unaonekana mpya... It depends na utunzaji wa mtu.. Na upite salama mkuu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wa kike au wa kiume?
Wa kike lakini amezeeka tayari..Wa kike au wa kiume?
[emoji41] [emoji41]Wa kike lakini amezeeka tayari..
kuna tofauti ya kua mpya na kuonekana mpya. still new and looks new kuna tofauti apo kakaMbona simple.... Umetumika 3months ila bado unaonekana mpya... It depends na utunzaji wa mtu.. Na upite salama mkuu
Wa kike mkuuWa kike au wa kiume?
Habari wana JF..
Nauza mdoli wa kudisplay nguo size 8. Ametumika 3months still new.. Anayehitaji ani pm.