Kwa wale wanaohitaji msaada wa typing Nina type kazi za aina zote. Bei ni 500/= kwa kila page.
Ninapatikana Kinondoni Mwananyamala.
Mawasiliano;
WatsApp & call 0754 895 321
Habari zenu wadau,
Ningependa kujua kuna ipi ya jirani zetu wakenya wanaitumia kwaajiili ya discussions mbali mbali kama sisi ambavyo tunaitumia jamiiforums hapa Tanzania.
Asanteni sana
Muuzaji bank inamdai anauza nyumba yote hadi tooth stick ili atoroke aende zake nje kusaka maisha
usitokwe povu bei mil 5 eneo uswahilini Manzese
utakipima mwenyewe hakijapimwa
full umeme...
Simu Tajwa Inauzwa Iko Vema Kwa Maana Imetumika Miezi Sita
Ina 8Gb
Battery 1500mAh
Lollipop 5.1
Mwenye Kuhitaji Nipo Kwa Namba
0715 - 45 70 61
Bei Ni 200000/-
Mpaka sasa imetembea 300000km na bado iko barabarani.bei yake ni 40million japo majadiliano yapo na kwa watu wa masafa marefu hapo ndo kwenyewe. maelezo zaidi tuwasiliane kupitia namba 0712672210/...
Habari za jioni wadau,
Jamani natafuta dispenser ya kuchanganyia juice yenye walau uwezo wa kuhifadhi lita 20 za juice, kama kuna mdau anajua wapi zinapatikana kwa bei chee ama mdau mwenye nayo...
Nauza TV 32" LED flat screen homebase na laptop acer hdd500gb, ram4, processor2 vyote kwa 700,000/= only. Sina simu/camera nzuri ya kupiga picha lkn vipo safi havina michubuko na vipo vina fanya...
Tamthiliya mpya kuhusu maisha ya wanavyuo inakuja kuanzia.. september mosi
Baada ya kutoka kwenye harakati za UKUTA watch this drama hauta jutia..
Ila leo ni Interview about It, TV 1
Uskose...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.