Mwenye kufahamu tafadhali naomba kujuzwa.Ni aina ipi kati ya hizi itanifaa kusafiria kifamilia,kwa mfano kutoka Dodoma mpaka mmoshi kwenda Na kurudi angalau Mara mbili kwa mwaka na mizunguko midogomidogo?Raum,Verossa,Altereza,Ranxy au aina nyingine mnazozifahamu wakuu tusaidiane mawazo plz mi mgeni katika mambo haya ya magari