Members nina fridge naiuza! fridge ni yangu ila nimeshaitumia. Ninaiuza kwa sababu ninauhitaji wa hela haraka zaidi japo ina tatizo kidogo
Matatizo yake
>inawaka ila imepata tatizo la kushindwa kupoza ila unaweza kurekebisha kwa bei ndogo sana tu.
>mlango wa chini unazingua kufungwa kwa sababu pata yake ilidondoka wakati inaamishwa ila unaweza kuipata na kuiweka mlango ukafungwa vizuri tu tena kwa bei ndogo sana
Hii ina sehemu mbili yaan juu fridge na chini freezer
Bei yake ni Laki mbili tu (200,000)
Kwa mawasiliano nitext au nipigie hapa 0689154853
WAHI OFFER HII
PICHA
Inayouzwa laki mbili ni hiyo nyeupe ila na hiyo ya pembeni inauzwa ila yenyewe ni full freezer na haijatumika inauzwa laki sita (600,000)