Bajeti yangu ni laki 4. Mshine iwe na uwezo wa kuweka mayai 100 kuendelea na iwe automatic inageuza mayai yenyewe. Ni pm au mawasliiano 0783085858.0769881984.0715075858
Range Rover Sport 2008model inahitajika... (Sample hiyo kwenye picha) Kama unayo tuma details na picha kwa WhatsApp 0689315582
Zingatia: model isiwe chini ya mwaka 2008 maswali zaidi sitaki
Habari zenu wadau hasa wale wenzangu na mimi walioamua kujikwamua kwa kukiendea kilimo.
Baada ya msoto wa muda mrefu niliamua kukiendea kilimo cha matikiti na hapa ninapoandika uzi huu matunda...
Gari ya mwaka 2004.rim sport.tairi zote mpya.imelipiwa insurance na motor vehicle hadi 2017.full air condition. Dvd redio.power window.Gari ilinunulia mmiliki akasafiri nje ya nchi. Ni gari...
ram 4GB
hdd 320Gb
core i3
processor 2.4 GHz
WIFI
bluetooth
dvd rom
lcd Backlight Technology LED b
Resolution 1366 x 768 ( HD )
hdm
Headphone output
VGA
530000
712191251
Nakutengenezea blog ya wordpress, au blogger kwa gharama nafuu ya tsh 5,000(elfu tano) tu.
Utafanyiwa settings zote muhimu na kuwekewa logo,bila ya kuongeza pesa yoyote.
Utapatiwa maelezo ya...
EMPOWER STATIONERY - THE UNIVERSITY OF DODOMA
TUNAPATIKANA MKOANI DODOMA KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA ALI MAARUFU UDOM
COLLEGE OF EDUCATION (COED)
ENEO LA UJASI
TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-...
EMPOWER STATIONERY - THE UNIVERSITY OF DODOMA
TUNAPATIKANA MKOANI DODOMA KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA ALI MAARUFU UDOM
COLLEGE OF EDUCATION (COED)
ENEO LA UJASI
TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-...
Habari.
Nilikua nikiendesha biashara ya Stationary kwa muda sasa nabimekua ikiingiza faida nzuri tu.
Nimeona nikajiendeleze kimasomo nje ya nchi hivyo nimeamua kuuza vitu vilivyomo ktk stationary...
Habari zenu wanabod, Kama maada imavojieleza natafuta kiwanja cha kuenea vyumba viwili na sebule, kama mnavojua laifu sahiz limekaba sihitaji kitakachozidi ml 2, maeneo kiwe Kigamboni, Buza...
EMPOWER STATIONERY - THE UNIVERSITY OF DODOMA
TUNAPATIKANA MKOANI DODOMA KATIKA CHUO KIKUU CHA DODOMA ALI MAARUFU UDOM
COLLEGE OF EDUCATION (COED)
ENEO LA UJASI
TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:-...
Wana Jukwaa Habarini
Nimekuwa nikipambana kwa muda wa miezi miwili sasa kumuuguza Bi Mkubwa Muhimbili. Juzi nimepewa Rufaa nimpeleke India kwa matibabu zaidi. Nikiangalia mfukoni hali haijakaa...
Habari wakuu, engine ya gari yangu ina matatizo,hivo nmeamua kutafuta nyingine, gari ni ya mwaka 1996, engine ya 4,600 cc, HSE ( high specified edition). Kwa anaejua wapi naweza pata ntashukuru sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.