Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,287
- 486
Ipo 10mil kama inakutosha ni pm.
Ipo 18 mkuu nicheki kama u tayari
Ilala Buyumi ni sehem gani mkuu.
We ni dalali ama ni kiwanja chako?Ilala Buyuni, ni Mbele ya Pugu. Ukiwa unaenda Chanika. Serikali ilipima Viwanja Vya Mradi 20,000
Ni Mji wa kisasa uliopangika na PSPF wamebadilisha madhari yake na kujenga Nyumba zaidi ya 300.
Tembea Mkuu. Dar ni Kubwa sana.
Mimi juzi nlipelekwa sehem inaitwa Ilala-Kitonga, nkawa nashangaa huku nako ni Dar pia!???
Nina heka 4 mita 100 baada ya zile nyumba kumbe Na mimi nikipima nitakua bilionea eeh aaaaahaaaaaIlala Buyuni, ni Mbele ya Pugu. Ukiwa unaenda Chanika. Serikali ilipima Viwanja Vya Mradi 20,000
Ni Mji wa kisasa uliopangika na PSPF wamebadilisha madhari yake na kujenga Nyumba zaidi ya 300.
Tembea Mkuu. Dar ni Kubwa sana.
Mimi juzi nlipelekwa sehem inaitwa Ilala-Kitonga, nkawa nashangaa huku nako ni Dar pia!???
We ni dalali ama ni kiwanja chako?
Chanika Kigezi..Ilala Buyumi ni sehem gani mkuu.
Chanika Kigezi..
Sure. Kigezi. Unaingia na Barabara ya. "Talian"
Hivi pale ni Talian au Italian
Kuna gereji moja imeandikwa Italian Garage,nadhani labda ndio origin ya hilo jina