Site ya kujenga Mnara wa Simu Inapatukana

Site ya kujenga Mnara wa Simu Inapatukana

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Site ya Kujenga Mnara wa simu Inapatikana(KODISHWA). Iko na Grid Kubwa ya Umeme(High T. Power)
Pia kuna Transformer papo hapo kwenye Site.

Utakuwa umeokoa gharama za kujenga line Kubwa kwa ajili ya Ku-service Mnara.

Site iko na Ukubwa wa Sqmtr: 1200.
Site iko Ilala Buyuni, Chanika.

Kwa Maelezo zaidi, naomba tuwasiliane PM
Gharama: Maelewano.
Picha zinapatikana kwa Whatsapp.

Karibuni.
 
Mimi nina mnara wa sabuni,napita mkuu
 
Ipo pia site nzuri na kubwa (4,800 sq metres) ya kujenga mnara eneo lenye mwinuko huko Kiromo-Bagamoyo. Karibuni.
 
Back
Top Bottom