Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 536
Mbuzi hao wanaoonekana ni wa maziwa isipokuwa huyo anayenyonyesha yeye amekuwa crossed ni uzao wake wa 1 baba wa mtoto ni Dume picha ya 2 toka kushoto juu ni pure Norwegian ni mkubwa sana anatimiza miaka miwili Novemba. Picha ya 4 ni dume ambalo lina mwaka 1 na nusu na dume mdogo picha ya 5 baba yake bado ni yuleyule.
Jike la chini ni pure Norwegian nilimnunua SUA mwaka huu akiwa na mimba ya 1 ameshazaa mara 1 tu na amepandishwa miezi 2 iliyopita. Sababu za kuwauza wote nataka kubadili mradi. Niko Kongowe ya Mbagala Dar. Unaruhusiwa kuja kuwaona kwa miadi maalum.
Serious buyers only piga 0762 41 31 32. Usitume sms tafadhali