Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Surveyed Plot inauzwa eneo la Ilala-Buyuni lililopo 29Kms kutoka Clock tower City Centre. Ukubwa wa Plot husika ni mita za mraba 1,120. Lina nyaraka zote halali za serikali (Land registry title deed), Block 14 - km 2.3 kutoka kwenye Lami .
Bei Tzs 32M, ni PM kwa ambae anahitaji.
Umeme Upo. Huitaji Nguzo.
Bei Tzs 32M, ni PM kwa ambae anahitaji.
Umeme Upo. Huitaji Nguzo.