SHAMBA LINAUZWA

Qualifier

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
1,252
403
Shamba linauzwa liko kijiji cha Msowero wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro, linaukbwa wa ekari 47.8 limeshapimwa na linahati. kuna nyumba na barabara shamba linafaa sana kwa kilimo cha umwagiliaji liko kandokando mwa mto msowero. mazao yanayo zalishwa ni rahisi kuyafikisha kariakoo ni masaa 4 manne kutoka shambani mpaka kariakoo ukiondoa foleni. na ni masaa 2.30 kutoka shambani mpaka Dodoma. kwa mwenye kuhitaji tukutane inbox
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom