House4Sale Lodge mpya kabisa inauzwa

Rajabu Msechu

Member
Apr 13, 2016
35
18
Poleni na majukumu wanajukwaa wenzangu, lodge ipo sokoni ni mpya na bado haijaanza kufanya kazi.

Ipo eneo la Mbagala Kizinga umbali wa mita 50 kutoka barabarani, wiring ya umeme imeshafanyika sambamba kabisa na mabomba ya maji, bado kuweka tuu.

Ina jumla ya vyumba 10 ambayo ni self-contained na chumba kimoja cha store na kingine cha mapokezi.

Kwa aliye-serious ani-Pm tufanye nae biashara.


Kwa mawasiliano zaidi : 0658 45 45 99
 

Attachments

  • l1.jpg
    l1.jpg
    69.1 KB · Views: 87
  • l2.jpg
    l2.jpg
    42.4 KB · Views: 69
  • l3.jpg
    l3.jpg
    52.1 KB · Views: 75
  • l4.jpg
    l4.jpg
    29.2 KB · Views: 85
Unauza bure au??kama unauza bure nicheck otherwise weka bei....kuwa serious kidogo
 
Wengine tumechekwa hatuna uwezo Wa kijenga tunapanga, sasa waliojenga wanauza wakapange... na kununua magari...kama sisi Job true true
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom