habari wana jf wenzangu samahanini kwa usumbufu mwenzenu ni mgeni na ninaomba kujua au kufahamishwa kwa undani kuhusu chuo cha rao healthy training center kilichopo wilaya ya rorya mkoa wa mara...
Wakuu nahitaji chumba na sebule. Maeneo ya mwenge / sinza / survey au ubungo. Isiwe mbali na barabara.
Kuwe kuna maji na umeme.
Kodi isizidi 120,000.
Kama unayo au una info zozote naomba uni pm.
Bei: Mil 35
Ina hali nzuri
Engine: vvt-i
2392cc
Mileage: 32400 km
Imetengenezwa: 2010
Mazungumzo yanaruhusiwa kama una nia
Mawasiliano: 0652 859530
Karibu
Kwa wahitimu wa kidato cha sita 2016 hongereni wote mliofaulu mitihani yenu kazeni buti kwani mapambano ndo yanaanza kwa wale ambao kwa bahati mbaya matokeo yao sio mazuri basi msikate tamaa kwani...
Habari wanajamvi,
Napenda kuwatangazia biashara ya nyumba inauzwa kiuhalali Kinyerezi mwisho yenye sifa zifuatazo
1. Nyumba kubwa na banda la uani (nyumba ndogo)
Nyumba kubwa ina:
Vyumba...
Habari Wakuu, nilikuwa Natafuta ushauri,uzoefu na maelekezo yenu ni wapi ntapata mkaa Mzuri kwa matumizi ya nyumbani. Mkaa ninaotafuta ni wa bei ya jumla pia biashara hii ntaifanya kwa kufuata...
Wana JF,
Kuna viwanja vinauzwa eneo la Kimara Kibamba.
Ramani ya viwanja husika imeambatanishwa hapa chini.
Kila kiwanja kinachoonekana ni TZS 4,000,000/= (milioni nne tu).
Nafasi ya majadiliano...
Kma kichwa cha habar kilivyoeleza apo juu naitaji rain za iyo mitando tajwa apo juu kama utakua nayo na unaihuza niprivate massage
Note:- itakua vizur ukataja aina ya mtandao wa rain unayoiuza...
Jipatie vocha ya Buku ya Airtel yenye dakika 110 (dakika 10 mitandao yote) SmS bila kikomo. Inateneti 2GB.
-whatsapp bure
-twitter buree
-Na Facebook buree
Unatumiwa popote, mda wowote kwa...
Kwa wale wakazi wa mbezi ya kimara na sehemu nyingine kwa ujumla. Tunawatangazia course zifuatazo kwa bei nafuu sana.
Computer Course, QT(Elimu ya Secondary kwa miaka miwili), Tuition kwa masomo...
Vipo mbezi juu tankibovu viwili katika nyumba ya (L-shaped) ni vya nje si ndani.. vina tiles Safi Madirisha Mazur maji yapo na kwenye kiwanja kikubwa bila msongamano wa nyumba
Contact 0689315582
Rejea kichwa cha habar hapo juu.
Nyumba inapangishwa maeneo ya savei dk 5 kwa mguu tokea mliman city.
Ina vyumba viwili jiko toilet sebule pia ina tiles. Haina uzio. Maji ya bomba yapo masaa...
Wadau kwa yeyote atakayehitaji huduma ya fumigation au kama ana mtu,ofisi,hotel inayohitaji huduma ya fumigation tuwasiriane kwa simu namba 0685232010 tumfanyie hiyo kazi. Ni kazi tunayoimudu tena...
Kichwa cha habar cha jieleza, Natoa huduma ya kupimiwa mashamba au viwanja kwa maeneo ya mwanza pamoja na mikoa ya karbu. Ushaur juu ya ardhi utapata. Pima ardhi yako pata hati miliki yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.