Kiwanja bei safi

Kiwanja bei safi

Nelson Kapaya

Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
99
Reaction score
15
Nauza Kiwanja maeneo ya airport ilemela-mwanza. Ukubwa 30m*27m (sqm 810). Bei 1.6ml. 0753101293
 
Nyie watu wa mwanza hata simu huwa hampokei sijui mkoje.
 
Duuh kumbe ni mtu yule yule tuu.mkuu mbona simu yako huwa haipatikani na huku umetangaza biashara.
 
Bei mbona ya kawaida lakini kiwanja chako hakipati mteja au kina tatizo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom