Nyumba ya kupanda inahitajika

Nyumba ya kupanda inahitajika

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,906
Reaction score
4,140
Wakuu nahitaji chumba na sebule. Maeneo ya mwenge / sinza / survey au ubungo. Isiwe mbali na barabara.
Kuwe kuna maji na umeme.
Kodi isizidi 120,000.
Kama unayo au una info zozote naomba uni pm.
 
Nitafute ninayo nyumba kubwa vyumba viwili sebule choo jiko ina tiles . dakika 5 tokea mliman city Kwa mguu. Bei yaje 300,000/= haina dalali. Unalipa unapewa mkataba. 0713401812
 
Mkuu
Kichwa cha habari muhitaji anataka nyumba ya kupanda sasa hawamwelewi! Sababu mbegu ya nyumba ili ipandwe bado haijawahi kuonekana!
Typing error mkuu... Bahati mbaya nimeshindwa kuedit heading
 
Nitafute ninayo nyumba kubwa vyumba viwili sebule choo jiko ina tiles . dakika 5 tokea mliman city Kwa mguu. Bei yaje 300,000/= haina dalali. Unalipa unapewa mkataba. 0713401812
Mkuu nahitaji chumba na sebule tu maana nko single na bajet ni laki na 20.
 
Typing error mkuu... Bahati mbaya nimeshindwa kuedit heading
Mkuu,
Sawa typing error zinatokea lakini pia hubadilisha maana na isikupeleke kwenye malengo yako.
Jambo la kuangalia sana. Ukishindwa kuedit unafanya e.c....error correction.
Nikushangaze; ilipotungwa legislature ya uingereza karne ya 14 kwa sheria za commonwealth, walisema muuaji anyongwe mshitakiwa wa kwanza aliambiwa umehukumiwa kunyongwa....sentenced to be hanged.
Alipopelekwa kwenye kitanzi wakamning'iniza then wakamwacha! Akajiendea! Watekelezaji na wathibiti wa sheria walipouliza wanyongaji wakasema walikuwa sahihi!
Ilibidi haraka! kuitisha bunge lirekebishe kwamba .....you'!! Be hanged to death!
 
Wakuu nahitaji chumba na sebule. Maeneo ya mwenge / sinza / survey au ubungo. Isiwe mbali na barabara.
Kuwe kuna maji na umeme.
Kodi isizidi 120,000.
Kama unayo au una info zozote naomba uni pm.
Ukipata kwa bei hiyo uje nikuongezee laki tano mkuu hata ukipata kwa laki na nusu uje tu maaana nauhakika bei ni 220-300 kwa room na sebule
 
Mkuu,
Sawa typing error zinatokea lakini pia hubadilisha maana na isikupeleke kwenye malengo yako.
Jambo la kuangalia sana. Ukishindwa kuedit unafanya e.c....error correction.
Nikushangaze; ilipotungwa legislature ya uingereza karne ya 14 kwa sheria za commonwealth, walisema muuaji anyongwe mshitakiwa wa kwanza aliambiwa umehukumiwa kunyongwa....sentenced to be hanged.
Alipopelekwa kwenye kitanzi wakamning'iniza then wakamwacha! Akajiendea! Watekelezaji na wathibiti wa sheria walipouliza wanyongaji wakasema walikuwa sahihi!
Ilibidi haraka! kuitisha bunge lirekebishe kwamba .....you'!! Be hanged to death!
Kweli mkuu. Lakini pengine mtu hujifanya kutoelewa tu kwa makusudi,
 
Ukipata kwa bei hiyo uje nikuongezee laki tano mkuu hata ukipata kwa laki na nusu uje tu maaana nauhakika bei ni 220-300 kwa room na sebule
Ninakoishi saivi nalipa laki na 20. Ila nahitaji kuhama tu.... Ngoja nikipata ntakutafuta.
 
Back
Top Bottom