Nauza kiwanja Tabata Segerea sq metre 486!

bazoka

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
300
Reaction score
141
Plot ipo TABATA SEGEREA MT 900 toka stand ya daladala hakijapimwa lipo eneo zuri sana kwa makazi na biashara ni mali yangu mwenyewe sq metre 486 kina urefu 27 na Upana 18 bei ni 20 million kwa maelezo zaidi piga simu namba 0622-027490.
Asanteni!
 
Plot ipo TABATA SEGEREA mita 900 toka ilipo stand ya daladala bei ni 20 million kina urefu 27 na upana 18 Mali yangu hakijapimwa, kama unahitaji waweza piga namba 0622-027490.
Karibuni.
 
Hizo 20m ni nyingi sana kwa kipindi hiki, hiyo bei kısa Dar au? ? Kwa mie naona bora tu nijenge mkoani na kwa hiyo pesa nyumba ishakamilika. Anyway nisiongee mengi wasubiri wenye nazo waje. Ila msisahau wenye viwanja zaidi ya 100 na ambao viwanja vyao hawaviendelezi wote tutawanyang'anya.
 
Amia dodoma
 
Inabidi vile vya milioni 2.7 huko chanika zingiziwa viongezeke watu tujenge huko
 
Hizo 20m ni nyingi sana kwa kipindi hiki, hiyo bei kısa Dar au? ? Kwa mie naona bora tu nijenge mkoani na kwa hiyo pesa nyumba ishakamilika. Anyway nisiongee mengi wasubiri wenye nazo waje. Ila msisahau wenye viwanja zaidi ya 100 na ambao viwanja vyao hawaviendelezi wote tutawanyang'anya.
Segerea ni hot area, huwezi kupata kiwanja kwa 10mil kwa sasa.
 
Serikali imeshatoa tamko kwamba msinunue viwanja visivyopimwa kwani mpango mji mpya upo mbioni kuanza na pia kutoa bei elekezi za viwanja so muweni makini sana katika hili.
 
Hapana,pamoja na hilo lakini kwa maeneo ambayo ni makaz lakini hapajapimwa yaan ni squatter(spelling), watavirasimisha.

Segerea ni prime area ni kweli kabisa ila kwa mzunguko wa sasa kidogo watu hela zimewasumbua. 20,000,000/486 ni zaidi ya 45,000/- kwa square metre,parefu kwa sasa,japo kama uko vizuri unanua tu.
 
Back
Top Bottom