msaada kuhusu rao na st.bhakita healthy instute

msaada kuhusu rao na st.bhakita healthy instute

aldoniah

Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
11
Reaction score
3
habari wana jf wenzangu samahanini kwa usumbufu mwenzenu ni mgeni na ninaomba kujua au kufahamishwa kwa undani kuhusu chuo cha rao healthy training center kilichopo wilaya ya rorya mkoa wa mara pia chuo cha st.bhakita healthy instute kilichopo rukwa nataka kufahmishwa mazingira ya vyuo vyote viwili na wilaya zake na hali ya maisha kwani mimi naenda rao na ndugu yangu anaenda st.bhakita...............asanteni
 
Back
Top Bottom