Naweza kupata mkopo kwa dhamana ya vyeti?

Naweza kupata mkopo kwa dhamana ya vyeti?

hamis2

Member
Joined
Aug 12, 2016
Posts
58
Reaction score
26
wazima?

Naomba kuuliza kama naweza kupata mkopo kutoka either kutoka bank/ taasisi ndogondogo za kutoa mikopo au hata watu binafsi?

Kiasi cha mkopo ni milions kadhaa ila dhamana naweka vyeti maana sina ardhi wala nyumba
 
wazima?

naomba kuuliza kama naweza kupata mkopo kutoka either kutoka bank/ taasisi ndogondogo za kutoa mikopo au hata watu binafsi?
kiasi cha mkopo ni milions kadhaa ila dhamana naweka vyeti maana sina ardhi wala nyumba

Hakuna mkopo wa aina hiyo
 
Jiunge kwenye vikundi kuna pesa Halmashauri kwa ajiri ya mikopo kwa vijana riba nafuu.
 
Nchi za wenzetu inakubalika. Ila kwa tanzania sijawahi kuisikia. Kumbuka hakuna dhamana ngumu kama vyeti. Wengine wanaweka hadi hati za kusafiria pamoja na vyeti au documents zote orijino. Inafika mahali unajuta maana inatokea dharura flani yakusafiri nje unashindwa.
 
nifanyeje mkuu maana sina jinsi
 
wazima?

naomba kuuliza kama naweza kupata mkopo kutoka either kutoka bank/ taasisi ndogondogo za kutoa mikopo au hata watu binafsi?
kiasi cha mkopo ni milions kadhaa ila dhamana naweka vyeti maana sina ardhi wala nyumba
Sasa ukiweka vyeti ukishndwa kulipa....hvyo vyeti vitageuka kuwa hizo millions kadhaa????
 
ujaweka maelezo yako vizuri..
-unataka mkopo wa nini/kufanyabiashara au kujiendeleza kielelimu
-unataka million kadhaa weka wazi million ngapi
karibu kwa hoja
 
ujaweka maelezo yako vizuri..
-unataka mkopo wa nini/kufanyabiashara au kujiendeleza kielelimu
-unataka million kadhaa weka wazi million ngapi
karibu kwa hoja
nashukuru!
nahitaji mkopo wa kufanyia biashara na kiasi cha milioni tano!
mwanzoni sikuweka kiasi kwa sababu nilifikiri ntampata mtu tuongee inbox mkuu
 
Mkopo wa milioni 5, je unadhihirishaje kwamba vyeti hivyo vina thamani ya zaidi ya Milioni 5??

Isije ikawa ni vile vya division five
 
Mkopo wa milioni 5, je unadhihirishaje kwamba vyeti hivyo vina thamani ya zaidi ya Milioni 5??

Isije ikawa ni vile vya division five
mkuu form six nina division two ya point 12 na form four nina division one ya point 17
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom