Nahitaji kontena futi 20

chazi piere

Senior Member
Jun 12, 2016
131
71
Nahitaji kontena futi 20
Offer yangu 2,000,000
Liwe Dar au Pwani
Contact 0758293598
Angalizo;nipigie tu kama mwenyewe ndo mwenye mali sitaki dalali.
 
Tatizo madalali ni kawaida kumkatisha tamaa mnunuzi ili apande dau mpate hela ila kwangu dalali NO acha wenye Mali waje tutaelewana tu tatizo sio hela nahitaji kontena kwa bei ya soko si udalali
 
Tatizo madalali ni kawaida kumkatisha tamaa mnunuzi ili apande dau mpate hela ila kwangu dalali NO acha wenye Mali waje tutaelewana tu tatizo sio hela nahitaji kontena kwa bei ya soko si udalali

Mkuu ulifanikiwa kupata?
 
Lishauzwa!

=============
Ninauza kontena futi 20.
Ni zima kabisa. Bei 4M. Liko Mwanza, Nyakato Mwananchi.

Nitumie PM kama unalihitaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom