Ninahitaji msaada kwa anayefanya biashara ya Used computers naomba uniambie kama unahusika nazo Jumla au rejareja. nitakucheki inbox. au kwa email: ymollel@gmail.com
Salaam
Nakusudia kuanzisha kiwanda kidogo cha usindikaji nafaka. Ila sifahamu sana kuhusu ubora wa electric motors
Yaani sijui brand ipi ni durable, affordable and perfect for the project...
Nauza shamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea, Bwawa la kihonda kwa bei rahisi..kutoka Msamvu dk 40 kwa pikipiki unaweza kuchimba kisima Tuwasiliana kwa namba hii 0716792692 Asanteni
[emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245]
Habari ya Muda huu mpendwa.
Niko nauza dagaa wa mwanza kwa bei...
Shamba la heka 4 linauzwa kwa mil 5, lipo mlandizi mwisho kisha unaingia km 1 kwenda kwenye kijiji cha ngeta. Mawasiliano 0713626494 & 0767626494 karibuni sana.
Kiwanja kipo mbezi beach tangi bovu chui street karibu na shule ya jk nyerer kina hati halali na square mita 495 na bei yake ni 80m
Piga simu kma unahitaji kukiona kwa ukaguzi na upewe docmnt...
Habari familia!.. Kama kichwa cha habari kilivyoeleza ningependa kujua bei za mazao sokoni na watu pekee wanaojua ni madalali nipo moro nimelima nyanya na mazao mengine tofauti... Naomba kama kuna...
bandugu
nina emergence ambaya sina alternative
naomba kama kuna mtu anaweza kuniazima laki nne nitarudisha laki tano ndani ya mwezi mmojha
mimi ni mwajiriwa, kama kuna dhamana yoyote naweza...
Habari za Asubuhi wadau
Kutokana na dhamira ya rais wa nchi kuhamia Dodoma, kutaambatana na fursa kibao za uwekezeji kwenye ardhi.
Kwa walioko Dodoma tunaomba kujua bei ya viwanja vya makazi...
Simu inauzwa iko Dsm..
Simu ni used pia ina macover mawili.. (nakupa makava yote)
Specifications
Ina LTE (4G)
16GB internal memory
2GB ram
Megapixel 13 Rear Camera
Megapixel 5 front...
Wakuu nahitaji Dough Mixer (mashine ya kukoroga unga) kwa ajili ya kutengeza vitu kama mikate,keki au maandazi. Napenda sana kama ikiwa Manual au hata kama ni ya umeme sawa tu. Nahitaji ya ujazo...
Tunapenda kuwa taarifu ndugu jamaa na marafiki kuwa dr Saile anayepatikana mbeya ~mbalizi anatibu magonjwa kwa bei laisi sana kwa kila mtu kumudu ,anatibu magonjwa kama
~asthma.
~ figo.
~ Vidonda...
GATEWAY DESKTOP COMPUTER INAUZWA…
SPECIFICATION ZAKE
v Hard Disk 1TB (GB 1000)
v Ram 6 GB
v Processor Core i3
v Mouse and keyboard ni wireless
v Display Inch 21
v Inasupport touch screen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.