Mauzo

Mauzo

Nakioze

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
329
Reaction score
170
Nahitaji Soko la disfectants, Liquid Soap, Tile Cleanser na Lotion. Nitafanya delivery popote. 0715489388
 
Umemaliza!
Mkuu,
Kwa jibu ulilolitoa kwamba "umemaliza" nimekuelewa kama ni swala dogo kwako utalichangamkia au vipi?
Kama ndio hivyo, ingia mtandao was WhatsApp uwasiliane na Namba hiyo kwa mambo ya picha, bei n.k. +250 785 44 8159
Ahsante
 
Acha uduwanzi na ubishi wewe unaambiwa weka picha na uongeze maelezo ya hizo bidhaa zako unajifanya mjuaji,sasa Kama mambo ya whatsApp kwanini umeleta hapa tangazo lako?
 
Wanjiru,
Sababu ya kunitusi ni nini? Ungeeleza katika lugha ya kistaarabu ungepungukiwa nini?
Unajua maana ya uduanzi, ubishi na ujuaji? Watch your mouth please!
One who controls his tongue and guards his mouth his mouth always lives in peace!
 
Mkuu hakuna tusi hapo,watangulizi wangu karibu wote hapo juu wamekuomba uweke picha kuongezea maelezo kidogo za hizo bidhaa zako wewe unaleta ubishi na mambo ya whatsApp.
 
Wanjiru
Uduanzi maana yake nini?
Karobangi, kayole, umoja, buru buru, Eastleigh unaweza mwambia mtu ni duanzi akakuacha?
Mimi mwerevu sio duanzi tafadhali usitukane mtu usiemjua.
 
Mkuu mbona unahamisha mada kutoka kwenye biashara yako kuja kwenye ugomvi na Mimi?
 
Back
Top Bottom