Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 52
Kiwanja kinauzwa kipo kitunda machimbo ukubwa mita 38 kwa 36. Na kina room mbili mwenye kuhitaji piga namba 0713669533. Picha zipo. Wateja mnakaribishwa. Madallali pia.
24mil...duuh, kivule vipo vya 4mil mkuu...PM ukihitajiBei inaanza 24 Milioni maongezi yapo
24mil...duuh, kivule vipo vya 4mil mkuu...PM ukihitaji
oooh hapo sawa kama ni kipindi cha mkwereUshaingia Chaka,hilo tangazo ni la mwaka Jana January tena kipindi kile watu wanahela za mchezo.
Kivuleyambezi beach itakuwa24mil...duuh, kivule vipo vya 4mil mkuu...PM ukihitaji
Kivuleyambezi beach itakuwa
Mzee wa airport, mbona unazidi kulinda rekodi yako ya kukosea maandishi humu?Mmhkinaffanananachanguu....
Hahaa recordyakimataifa haivunjwi kirahisiMzee wa airport, mbona unazidi kulinda rekodi yako ya kukosea maandishi humu?