Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunapenda kukujulisha kuwa Muhula wa Masomo (NTA level 4) kwa kozi ya Medical Lab unafunguliwa mwezi Septemba 2016. Wahi nafasi ni chache!
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nahitaji reagents na Instruments kwa ajili ya maabara, naamini wapo wauzaji / wasambazaji humu. Tafadhali tuwasiliane kwa e-mail jnb14enterprises@gmail.com Physical Addredd - niko Mwanza city.
0 Reactions
5 Replies
824 Views
Kwa anayeitaja nyamA ya nguruwe tuwasiliane namba 0754431045 kg i tsh 6500 waweza kupata ata kg 300 nawasilisha
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Kitanda, TV lg 21inch, radio na kimeza cha mbao ni pm kwa maelezo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
habari. naitaji msichana wa kusaidia kazi za nyumbani, kwa aliye tayali naomba ani PM mimi ninaishi DAR ES SALAAM.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
KIWANJA KILICHOPO DSM KINAUZWA: Kipo Mbezi Luisi, Makabe katika kitongoji kinachoitwa MSAKUZI(Kwa Lipelanya).Kipo umbali wa kama mita 800 kutoka stand ya Msakuzi. Ukubwa wake: 20mx2m. Bei...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Photocopy color and black and white. Mwenye kuhitaji tuwasiliane, tsh 2,000,000 na 1,000,000 respectively. Maongezi yapo pia
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Upungufu wa nguvu za kiume ni shida inayosumbua wengi,lishe duni,msongo wa mawazo na mitindo ya maisha ya watu wengi, vimekuwa visababishi vikubwa vya tatizo hili kwa kuona hivo kampun yetu ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiwanja kinatafutwa mabwepande kwenye eneo lililokuwa la IFM upimaji awamu ya pili uliofanywa Na Manispaa Kinondoni.Ukubwa Nita za mraba 1200.Simu namba.0658334403
1 Reactions
1 Replies
987 Views
Wadau, natumai amjambo, mimi ni mjasiriamali, nina duka langu lina mzigo wa milioni TANO, lipo kinondoni kwa Ali maua, lina mzigo wa maana na clasic, zuri kwa warembo wanaopend kufanya biashara ya...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nauza kiwanja kipo km 5 toka Kivukoni Ferry na km 7 toka daraja la mwalimu nyerere, kama unaelekea njia ya mjimwema maeneo ya kwa mwingira. Kina hati miliki ukubwa wa eneo ni mita za eneo 935...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Huyu mtu anayejiita Stevenfrank ni tapeli kuweni makini msije ingia mkenge kama alivyoninasa mimi, akidai anatoa huduma ya startimes free kwa mwaka mzima kuweka chanel 109 za DST na 3 packages za...
14 Reactions
90 Replies
9K Views
Wakuu wa Nchi natafuta mafuta ya nazi ya kula .Nimeangaika hapa Arusha mjini hiyo kitu hawajui ,yapo tuu ya kupaka ya watoto .kama unajua mahali yanapatikana please let's me know.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
habari zenu Wakuu, Nina lengo la kufungua duka la chakula au nafaka kwa bei ya jumla hapa jijini Arusha , nafaka Hizo ni pamoja na mchele, mahindi, choroko,maharage, nakadhalika. Hivyo naomba...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Nyumba inauzwa ipo ubungo tafadhali kwa maelezo zaid njoo inbox or call 255717698975
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni rahisi,just click the link then bofya sehemu iliyoandikwa vote [emoji120] ,,thanks Airtel Tanzania - Selfie #BilaSalioWalaMB | Facebook
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Ni rahisi,just click the link then bofya sehemu iliyoandikwa vote [emoji120] ,,thanks Airtel Tanzania - Selfie #BilaSalioWalaMB | Facebook
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Kama thread inavyosema, nauza bata mzinga wenye umri wa miezi nane. Bei kwa pair yaani jike na dume ni sh. 160,000 yaani laki na sitini kwa wote wawili. Serious buyer aje PM. Napatikana tabata...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau bata mzinga wangu sasa wameanza kutaga na nimeanza kutotolesha.Kwasasa wamebaki vifaranga 11 wa wiki 3 nauza.Pia ntakua na vifaranga wa peking ducks kama mtu anapenda anaweza weka oda.Nipo...
0 Reactions
4 Replies
948 Views
Back
Top Bottom