Nyumba au pagala?? kijana13Hi, wakuu Nyumba Inauzwa ipo ukonga mombasa, bei sh mill 20, mazungumzo yapo. Inavyumba vitatu vya Kulala, kimoja master, jiko na sebule. Contact 0713196055
Hapo umenena vyema. Nikikuletea mteja wewe si unachukua 20 yako tuu unayoitaka? kijana13Nyumba ambayo haijamaliziwa finishing
Mkuu Hilo Jengo pichani ndio linauzwa, lipo vizuri Hilo Jengo na vyumba vyake. Uamuzi ni wako ukishanunua, umalizie finishing au ubomoe ujenge unayotaka ni wewe.Kinachouzwa ni nyumba ama kiwanja?
Anyway, eleza location tafadhali.
Haijamaliziwa finishing ndio nnNyumba ambayo haijamaliziwa finishing
Ungesema haijamaliziwa au haijafanyiwa finishing bdo.Mkuu kama inavoonekana kwenye picha, I mean kusakafiwa ndani, kupigwa plaster, Rangi, milango madirisha etc ambayo ni vya hatua ya mwisho kabla kuhamia