JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 471
4WHL
IWE VIZURI HAIJATUMIKA SANA
IWE VIZURI HAIJATUMIKA SANA
4WHL
IWE VIZURI HAIJATUMIKA SANA
mil 5 nakupa ndugu yangu tusaidianepanda kidogo nikupe kali kabisa kwa milioni sita na laki tatu
mil 5 nakupa ndugu yangu tusaidiane
basi mil 5.2 mkuu wangu upo mkoa gani?
upo mkoa gani??mkuu,top top kabisa nitakufanyia 6,yaani hiyo ni kibingwa kabisa,kama upo okay twende sawa
Weka picha ya hiyo gari.Morogoro mjini mkuu
Si ungepiga picha upya tu.Jamani eeeeeh,picha zipo kwenye desktop zinanishinda ku-upload,mwenye maujanja anipe ujuzi wajameniiiiiii au kama mnatumia mtandao wa whatsapp niPM namba zenu wenye uhitaji tafadhali
Si ungepiga picha upya tu.
Unatumia jf app kwenye simu au pc?picha ninazo mkuu,tatizo sioni option ya ku-attach hapo kwenye menu ya JF,ila kwa whatsapp ukinipm namba,nakutumia sasa hivi
Unatumia jf app kwenye simu au pc?