cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 653
Habari,nahitaji kiwanja kigoma mjini mwenye nacho tuwasiliane humu,asanteni!
be specific eneo gani? mimi ninacho
Toa mawasiliano kaka kiwanja kipo utasaidiwa ukiweza Piga namba hii 0746269580 napatikana kigoma mjini
Kuwa makini na matapeli
Kigoma mjini ni kubwa mkuu,Maana hapo unaongelea Wilaya nzima,sasa lazima uwe specific
Maana kuna
Mji mwema,Kilimahewa,Kibirizi,Bangwe,Katonga,Mwanga Katubuka,Mwanga Majengo.Gungu mpaka kule Bushabani,
Ikiingia Ujiji ambayo ni Kigoma mjini huku ndio maeneo ni Mengi mno lazima u speficy,kuna Burega,Buzebazeba,Businde,Kasingirima,Kabondo,Rubuga,Kitongoni,Ndahiriwe aisee nimechoka maana ni zaidi ya 200 eneos.
Sasa kuwa specific kama mdau anavyokuambia
Kuna tofauti kati ya Kigoma Mjini na Dar es Salaam Mjini
Hakuna wilaya wala kitongoji kinaitwa Dar es Salaam mjini,ila Kigoma mjini ni wilaya kamili ni Sawa na kusema Mkoa wa Mjini Unguja.So specify
We kweli zuzu.Wewe nini huelewi kwa mfano kuna kigoma mjini na kigoma vijiji, sasa sema kiwanja chako kipo wapi nije kukuiona nikipapenda nanunua
We kweli zuzu.
Mie naujua mkoa huo,maana ni nyumbani pia nimeosma na nimekulia hapo.
Kuwa makini ukiona mitoto yako shule haielewi basi jua chanzi mzazi kuwa na uelewa mdogo sana kama wako.
Unashindwa uelewa hadi na WAHA?au we wakuja nini,kuanza maisha ukubwani ni janga kweli.
Haya safari njema,ukitaka viwanja nenda Pale Halmashauri ya Mji utapewa maelekezo
Tatizo unajenga ukubwani,ndio ujinga umeopitia
Pole sana.
Nenda Halmashauri ya mji hapo Karibu na Hospitali ya Maweni,humu hakuna muuza Kiwanjana ushamba wako wa maamuzi
nenda halmashauri fullstop...mjini hakuna kuuziana nyuma ya nyumba au labda ununue nyumba na sio kiwanja