Mkuu hapa dsm kuna sehemu wanauza gunia 8,000/, Angalia bei yako
Kwa nini unaandika kama unafukuzwa?Habari za leo wakuu....nauza pumba ya mahindi ipo kibaigwa dodoma....jumla ipo gunia 300 za kilo 70 kila moja. Punba nauza kilo tsh 200 na tshs 14000 kwa gunia. Usafiri ntamuorganizia. Karibuni wote namba 0654 000253
bei hiyo in wapi? Mimi napigwa 3500 Kwa debe Kwa maduka ya barabaranihuyu jamaa wa wapi .... dar pumba gunia debe 7 Tsh 8,000 kweli kabisa tena unabembelezwa
Mkuu hiyo pumba ya debe 7 kwa 8000 inapatikana Dar sehemu gani tujuzane?huyu jamaa wa wapi .... dar pumba gunia debe 7 Tsh 8,000 kweli kabisa tena unabembelezwa
wana ropoka tu ukiwauliza pumba ya bei hiyo ili wapi wanakaa kimyaMkuu hiyo pumba ya debe 7 kwa 8000 inapatikana Dar sehemu gani tujuzane?
Ha ha ha ha ha ha ni kwel kiongoz mfano ndio kama huu tunajuonea hapa.Watu
wana ropoka tu ukiwauliza pumba ya bei hiyo ili wapi wanakaa kimya
Manzese nimenunua juzi jpili buku 15,000Mkuu hiyo pumba ya debe 7 kwa 8000 inapatikana Dar sehemu gani tujuzane?
Ndio bei yake hiyo mkuu, kuna watu walitutajia bei zinazotia mashaka humu 🙂Manzese nimenunua juzi jpili buku 15,000