Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kama thread inavyosema, nauza bata mzinga wenye umri wa miezi nane. Bei kwa pair yaani jike na dume ni sh. 160,000 yaani laki na sitini kwa wote wawili. Serious buyer aje PM. Napatikana tabata...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau bata mzinga wangu sasa wameanza kutaga na nimeanza kutotolesha.Kwasasa wamebaki vifaranga 11 wa wiki 3 nauza.Pia ntakua na vifaranga wa peking ducks kama mtu anapenda anaweza weka oda.Nipo...
0 Reactions
4 Replies
948 Views
karibu NFL group letu la whatsapp la kubashiri matokeo ya mechi Check me thru 0718227556
1 Reactions
2 Replies
579 Views
ZoomTanzania badilikeni na mjifunze kutoka kwa mitandao mengine. Sijawahi kuona Mtu anabandika tangazo lake linachukua siku kibao ndiyo linakuwa aproved kuwa hewani, Badilikeni na huyo mtu wenu wa...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
habari wanajamvi, mm na mke wangu tunauza duka letu lipo kinondoni, kwa mtogole karibu na kwa hali maua. lina mtaji wa 5m kwa maana ya kodi ambapo kodi yet inasha mwezi wakumi na ,oja, na ndani...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Brandnew IPhone 4s for sale Original and Full accessories(No Box) 16GB Internal Storage Black and White colours are available Price 300,000 Contact 0784780955 or 0718942311(whatsap)
0 Reactions
1 Replies
794 Views
Rejea title hapo juu mimi nina idea niliyoiandikia proposal ambayo nimewasilisha azam tv na katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, ilipofikia ni pazuri kuna gharama za kuendelea na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu. Mayai ya kisasa yanapatikana. Kwasasa bei ni 6500. Contact 0654567777.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Ndugu, nauza kuku wa kienyeji wakubwa kabisa kutoka dodoma. bei ni kati ya elfu 16-20 kulingana na ukubwa wa kuku..... tunapatikana njia panda ya Segerea Dar es salaam nawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
wakuu za humu ndani mtanisamehe narudia kuomba maana sina jinsi na hii ndio njia yangu ya pekee kutoka kimaisha,nafikiri kwa ambae yuko au ameshapita kipindi hiki ananielewa...
1 Reactions
9 Replies
965 Views
salaam wana jamvi. natangulza samahan mimi ni mkulima ambaye huwa nachanisha mbao miti migumu. . sasa nilikua nahtaji soko kwa maelezo kuhusu aina ya mbao na bei . .naomba uni PM nikupe namba...
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Mwenye nayo tuwasiliane kwa namba zangu za simu 0766686913.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je wewe ubasumbuliwa na moja ya haya yafuatayo;- # Kisukari. # Shinikizo la damu. # Maumivu ya viongo. # Upungufu za nguvu zakiume. # Upungufu wa kinga mwilini. # Mtoto anasumbua Kula, anakua kwa...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Post deleted by author
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Anayeuza Desk phone inayotumia SIM card kama zile za TTCL tuwasiliane tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
724 Views
Wadau karibuni mafuta mazuri ya nazi asilia kwa ngozi na nywele zako. mawasiliano. Piga: 0712 464 064 whatsapp: 0767 270 682 Rejareja ni 8500 kwa chupa ya ujazo wa Ml. 200 jumla ni...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wana education, nafundisha web design & development, joomla,wordpress,database and how to host website/blog online bure kwa wakazi wa dodoma. Njoo ujifunze kupitia ofa hii ya mwezi mmoja...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau,nahitaji Volkswagen beetle old model inayotembea,body structure iwe safi, iwe right hand drive haijalishi Brazil au Germany Nawasilisha
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Galaxy note 5/ LTE 4G-CDMA Colour Gold Storage 32Gb Ram 4gb Camera ( rear) 16Mp / Secondary 5Mp Detailed informations. Link below. Samsung Galaxy Note5 - Full phone specifications Used just 3...
0 Reactions
3 Replies
839 Views
Kiwanja chenye msingi na nyumba Chumba sebule kinauzwa bei maelewano mahali : Butiama Mara mawasiliano 0785746105
0 Reactions
1 Replies
912 Views
Back
Top Bottom