Wateja wa gesi ya oryx mwanza. Hebu ukiishiwa gesi tupigie tukuletee hadi mlangoni. Usafiri buree kabisa. Tucheki kwenye namba 0688955988 au 0754810008
wakuu nauza shamba lenye ukubwa wa Hekari moja na likiwa na baadhi ya mazao kama mikorosho, miembe, minazi na karanga, Shamba liko Manispaa ya mtwara sehemu inaitwa Naliendele shangani ni karibu...
Nauza nyumba yangu ipo mbagala zakhem ina vyumba viwili, jiko, choo na ipo na fensi ya matofali. Inaumeme pia ina nafasi ya kuongeza vyumba viwili na ipo katika hali nzuri. Gari inafika mpaka...
Wadau nataka kuanzisha mgahawa wa kisasa mkoani naombeni mnifahamishe wapi napata vifaa vya kisasa kwa ajili ya biashara hiyo hasa fast food na catering.
Habari.
jiko linalopakana na pub linapangishwa 100,000 kwa mwez.
lipo kijitonyama kisiwani karibu na shule ya secondary salma kikwete, linavitu baadhi vichache vya kuongeza. mawasiliano 0652 494919
viwanja kwa ajili ya ujenzi vinapatikana maeneo ya ITENDE 3km from the main (TUNDUMA ROAD)
maji na umeme vinapatikana karbu na viwanja.kwa taarifa zaidi piga 0765432283
Wakuu najua JF ni kubwa sana, hapa nitapata msaada wetu ama nitapata mwanga. Kuna viti nataka nivisafirishe kutoka hata DSM kwenda Cape Town, South Africa. Na-prefer viende kwa meli so kama kuna...
kadli siku zinavyozidi kwenda vitendo vya wizi na utapeli wa kila aina unazidi kushamili katika jamii, pengine ni changamoto ya kiuchumi, mazoea ama nafsi ya mtu hupelekea vitendo kama hivi...
Zantel wameshauriwa na Distributor wao mkubwa anayeitwa Rifaro ili watumie fungu la advertising kuwalipa wana wa mtandao ili wawaenezee biashara yao badala ya kupoteza mapesa kwenye matangazo ya...
Nyumba inapangishwa laki 3.5 kwa mwezi,ina Geti imezungushushiwa uzio,vyumba vinne,sitting room,dining room, car parking na maji yapo ipo karibu na barabara kuu maeneo ya Airport Daressalaam!
Wadau,
Kuna hitaji la haraka sana la chumvi isiyosagwa (coarse salt) na siyo fine salt , kwa wingi sana kama tani 30 kwa wiki.
Soko lipo tayari mwenye namna naomba tuwasiliane haraka sana kwa...
INTRODUCTION
Kwa sasa hauitaji kulipia DSTV package yoyote maana Tayari wachina wameingia Chimbo na wamekuja na hizo receiver/Dongle za Sattelite Key Sharing(sks) na Internet key Sharring(IKS)...
African capital ni taasisi inayohusiana na utoaji wa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali hapa dar es sala. Tunatoa mikopo kwanzia laki mbili mpaka million kumi. Riba ni 18% kwa mwaka. Malipo ni...