Kwa wanaohitaji viwanja mbeya mjini

Kwa wanaohitaji viwanja mbeya mjini

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
3,725
Reaction score
4,405
viwanja kwa ajili ya ujenzi vinapatikana maeneo ya ITENDE 3km from the main (TUNDUMA ROAD)

maji na umeme vinapatikana karbu na viwanja.kwa taarifa zaidi piga 0765432283
 
Hujaweka range ya bei,Je yamepimwa???,Ongeza vikorombwezo ili Nyama ikamilike yuweze kukuelewa.
 
Hujaweka range ya bei,Je yamepimwa???,Ongeza vikorombwezo ili Nyama ikamilike yuweze kukuelewa.

Mkuu!Maeneo hayajapimwa na yanauzwa kuanzia 3mil-4Mil.
Mimi sio muuzaji,ila mwenye maeneo hayo ni mzee sana,kama ni muhitaji,we piga namba hiyo mtaongea na mkewe,mtamalizana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom