Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
INTRODUCTION
Kwa sasa hauitaji kulipia DSTV package yoyote maana Tayari wachina wameingia Chimbo na wamekuja na hizo receiver/Dongle za Sattelite Key Sharing(sks) na Internet key Sharring(IKS).
Hii ni Valid subscrption ya DST> ila tuna-share card moja kupitia internet, hii ni sawa na Cable za mtaani ambazo mmoja ulipia subscption na kuwasambazia wengine kwa waya na humlipa yeye kila mwezi hizi ziko common mikoani kwa hapa Dar sijaziona
Kuongeza uelewa Google CARD SHARING au soma hapa Card sharing - Wikipedia, the free encyclopedia
MAHITAJI YA KUTUMIA HIZI RECEIVER NINAZO UZA
Ili kuona channel za DST> utaitaji vitu vifuatavyo
VIFURUSHI VYA INTERNET VYA KUTUMIA
Kwa hapa Tanzania unapoongelea internet watu wanaogopa kabisa maana internet ni ya shida kuanzia bei ya kununulia mpaka speed
Ila nipende kukwambia kwamba hivi vifaa vimetengenezwa kwa ajili ya GPRS internet ambayo ni 2G internet ambayo iko very weak na speed ya 86Kbps ambayo inapatikana Tanzania nzima walau kwa mtandao zaidi ya mmoja...
Vimetengenezwa kiasi kwamba internet inayoitajika ni ndogo sana maana unakua hau-download wala ku-stream kitu chochote bali unapokea KEYS/PASWORD za kufungulia channel zilizo locked
Ikumbukwe kwamba Receiver inaweza kutumia Line ya simu(very low internet),3G Huawei modem,au LAN internet na WiFi iwapo utanunua na USB WiFi adapter
Hivo basi ningekushauri utumie vifurushi vifuatavyo
VIFAA VILIVYO SOKONI
Katika huu ulimwengu wa IKS na card sharing kuna receiver nyingi sana e.g Xmaster,Xman G8,AZSKY,QSAT,A+.ZORROBOX Z3,STR GS6HD,EC LINK X5 etc
Kuna zenye ubora na kuna zenye mapungufu kuna nyingine hazijaanza kuuzwa rasmi ila zishatangazwa
je receiver gani ni bora kwako?
jibu ni-:
Hzi receiver zinafanya kazi ile ile na kwa ufanisi ule lakini tofauti yao iko katika style au njia inayotumika kufanya hiyo kazi
channel zinafungua sawa lkn size zimetofautiana na kwa kifupi naweza sema HARDWARE zao sio sawa E.G Q13 ni plastick wakati Q11 ni bati e.t.c
BEI ZA QSAT ZILIZO KWENYE STOCK
QSAT Q23G bei yake ni 250,000/= with 1yr AcamHD Free DSTV server
Qsat Q23G+1yr AcamHD+3MONTHS tv1 CCcam stable DSTV server 290,000/=
QSAT Q23G+1yr AcamHD+6months tv1 CCcam Stable DSTV server 320,000/=
Ikumbukwe hii ni bei ime include installation process kwako kama unataka kufata mwenyewe punguza 20,000/=
Channel unazoziona ziko katika attachment nimeziwekea alama ya "OK"
MAWASILIANO
Tumie JF PM au
email: njunwawamavoko@gmail.com
CHANNEL UNZOWEZA KUONA
Kaa nilivyowambia hapo awali kwamba hizi receiver zinalipiwa SMART CARD ya DST> basi utawez kuona channel nyingi tu around 180 zikiwemo zile ambazo watu wa EAST AFRICA hawaoni
Na ni kama zinavyoonekana katika hii link DSTV Africa on Eutelsat 36B at 35.9°E - LyngSat
Hope wanaopiga kuulizia channel ntakua nimewajibu
MATUMIZI MENGINE YA RECEIVER
Kazi zangu nyingine

- Utaitaji dish la ukubwa wowote lakini na recommend dish la Futi tatu kwa Kariakoo DSM utapata kwa 45,000/=
- KU-BAND LNB bei 10,000/= kama haujui ni nn hiki bofya HAPA
- Fundi wa ku-assemble dish na kuliweka ktk Uelekeo wa DST> kwa kawaida 20,000/=(waweza omba namba za fundi wangu kama upo DAR)
- Nunua receiver kutoka kwangu nakushauri receiver aina ya QSAT ndo inafanya vizuri kwa sasa sokoni ikifungua channel zaidi za dst> kuliko nyingine yoyote bila kuganda hata kidogo
- Malipo yako yatakua kuweka hela katika SIM CARD ya simu au modem yako ya Huawei na ntaelezea huko mbele vifurushi gani vya internet viko bomba na economical maana hizi receiver haziitaji internet kubwa
- Channel utakazo zipata ziko katika kiambatanisho na zina alama ya "OK"
VIFURUSHI VYA INTERNET VYA KUTUMIA
Kwa hapa Tanzania unapoongelea internet watu wanaogopa kabisa maana internet ni ya shida kuanzia bei ya kununulia mpaka speed
Ila nipende kukwambia kwamba hivi vifaa vimetengenezwa kwa ajili ya GPRS internet ambayo ni 2G internet ambayo iko very weak na speed ya 86Kbps ambayo inapatikana Tanzania nzima walau kwa mtandao zaidi ya mmoja...
Vimetengenezwa kiasi kwamba internet inayoitajika ni ndogo sana maana unakua hau-download wala ku-stream kitu chochote bali unapokea KEYS/PASWORD za kufungulia channel zilizo locked
Ikumbukwe kwamba Receiver inaweza kutumia Line ya simu(very low internet),3G Huawei modem,au LAN internet na WiFi iwapo utanunua na USB WiFi adapter
Hivo basi ningekushauri utumie vifurushi vifuatavyo
- Airtel OMG 600MB kwa 800/=(cheapest)
- Vodacom kifurushi cha internet cha mwezi 100MB kwa shilling 2,500/=
- Tigo kifurushi cha mwezi 10,500/=
- Zantel wanakupa 50MB Bure za epiq nation ambazo kama sio heavy TV user zinakutosha
VIFAA VILIVYO SOKONI
Katika huu ulimwengu wa IKS na card sharing kuna receiver nyingi sana e.g Xmaster,Xman G8,AZSKY,QSAT,A+.ZORROBOX Z3,STR GS6HD,EC LINK X5 etc
Kuna zenye ubora na kuna zenye mapungufu kuna nyingine hazijaanza kuuzwa rasmi ila zishatangazwa
je receiver gani ni bora kwako?
jibu ni-:
- QSAT Q11G/Xman G8
- QSAT Q13G
- QSAT Q15G
- QSAT Q16G
- QSAT Q17G
Hzi receiver zinafanya kazi ile ile na kwa ufanisi ule lakini tofauti yao iko katika style au njia inayotumika kufanya hiyo kazi
channel zinafungua sawa lkn size zimetofautiana na kwa kifupi naweza sema HARDWARE zao sio sawa E.G Q13 ni plastick wakati Q11 ni bati e.t.c
BEI ZA QSAT ZILIZO KWENYE STOCK
QSAT Q23G bei yake ni 250,000/= with 1yr AcamHD Free DSTV server
Qsat Q23G+1yr AcamHD+3MONTHS tv1 CCcam stable DSTV server 290,000/=
QSAT Q23G+1yr AcamHD+6months tv1 CCcam Stable DSTV server 320,000/=
Ikumbukwe hii ni bei ime include installation process kwako kama unataka kufata mwenyewe punguza 20,000/=
Channel unazoziona ziko katika attachment nimeziwekea alama ya "OK"
MAWASILIANO
Tumie JF PM au
email: njunwawamavoko@gmail.com
CHANNEL UNZOWEZA KUONA
Kaa nilivyowambia hapo awali kwamba hizi receiver zinalipiwa SMART CARD ya DST> basi utawez kuona channel nyingi tu around 180 zikiwemo zile ambazo watu wa EAST AFRICA hawaoni
Na ni kama zinavyoonekana katika hii link DSTV Africa on Eutelsat 36B at 35.9°E - LyngSat
Hope wanaopiga kuulizia channel ntakua nimewajibu
MATUMIZI MENGINE YA RECEIVER
- Unaweza kuangalia YOUTUBE iwapo internet kwako sio shida
- Unaweza kuangalia ADULT CHANNELS e.g Youporn na REDTUBE(hizi ni channel za ngono hivo zimewekewa password ili watoto wasizifikie)
- Unaweza kucheza Movie,music kutokea kwenye USB Flash au external hard disck
- Unaweza ku-stream Online TV kupitia IPTV
- Unaweza ku-record event inayoendelea kwenye TV
Kazi zangu nyingine
- Na renew account za Dongle zilizo Expire BOFYA HAPA
- Nabadilisha Xmaster Ferrari server kuja AvatacamHD na kuweka account ya mwaka zima
- Nauza CCCAM account ya miezi miatau 55,000/=
- Nauza DQCAM kwa ajili ya Be IN SPORTS/Aljazeera acc ya mwaka 40,000/=
- Nauza DQIPTV kwa ajili ya ku-stream TV nzuri za online 40,000/=