Mkuu umechukua kwa bei hiyo???,wapi huko??,je zina patikana??.mie nshachukua jion hii, nawe kachukue hii hapa
![]()
Zinapatikana mkoa gani???.nimechukua kwa 9M, hapahapa tanzania, ndiyo zinapatikana nyingi tu. hiyo hapo juu inapatikana kwa 8M inashuka hadi 7.5, pia nyingine inauzwa 6.3M.
Ok!!,kumbe upo Mwanza.sasa naomba namba yako ya simu maana mimi nipo Ngara.Dar na Mwanza, mie nilipenda ya 9M sababu ilikuwa na bodi kama jipya afu namba C na ilikuwa hapahapa mwanza